Naomba kufahamishwa utaratibu wa kufanya mtihani wa leseni ya Ufamasia

chikoxalate

Member
Apr 18, 2018
62
22
Habari wana JF,

Naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie taratibu za kufanya mitihani ya leseni kwa kozi ya famasi pia kama ana mitihani ya nyuma anisaidie
 
Kwa eluelewa wangu mitihani ya kozi za afya kwa ngazi ya diploma na certificate inasimamiwa na wizara ya afya sidhani kama ngazi ya diploma wa
Habari wana JF,

Naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie taratibu za kufanya mitihani ya leseni kwa kozi ya famasi pia kama ana mitihani ya nyuma anisaidie
emoji2969.png
Kwa uelewa wangu, mitihani ya ngazi ya diploma kwa kada ya afya inasimamiwa na wizara. Kwa uelewa wangu baraza la pharmacy Lina husika kuwapa usajili wale waliosoma pharmacy kwa ngazi ya degree tu, wale was certificate na diploma ni wafamasia wasaidizi ambao upatikanaji wao unaratibiwa na wizara ya afya, the same case to clinical officers hawasajiliwi na baraza la la madakatari, ila wanasimamiwa na wizara ya afya.
Habari wana JF,

Naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie taratibu za kufanya mitihani ya leseni kwa kozi ya famasi pia kama ana mitihani ya nyuma anisaidie
 
Back
Top Bottom