NAOMBA KUFAHAMISHWA TOFAUTI YA MANENO HAYA MAWILI: AZIMIA NA ADHIMIA

Kwa mjibu wa kamusi ya kiswahili sanifu ya tuki toleo la 13
Ukrasa wa 22 AZIMIALina maana mbili
1. Azima ni chukua au toa kitu kwa muda na Kisha kukirejesha ambapo mnyumbuliko wa neno hilo tunaweza Pata azimia, Azimika, azimiana, azimisha, azimiwa, azimwa

2.azimia Nikama talasimu au hirizi

Nadhani wewe ulikuwa unataka maana ya kwanza

Ukrasa wa 3 ADHIMU Ina maana mbili pia
1.adhimu yenye maana ya - enye sifa - liyotukuka
Kwa maana ya tukufu, aali, jalili

2.adhimu - ingi mfano fulani anamali adhimu (nyingi)

ZIADA
1.adhim.u kwa maana ya lengo /kusudio
Hapa tunaweza Pata mnyumbuliko wa maneno Kama adhimia, adhimiana, nk.

MFANO Juma aliadhimia Kubana matumizi
Adhimio letu ni kumfukuza mkurugenzi

------------------Ndio hivo mkuu - - - - - - - - - - - - - - - -
 
Nimeazimia kumfuta kazi mfanyakazi wa shamba langu.

Nimeadhimia kufuta kazi mfanyakazi wa shamba langu.

Nini tofauti hapo na ipi kazi sahihi?
 
Sentensi ya pili ni sahihi, Adhimia ni kama kufikia maamuzi juu ya jambo. Lakini azimia ni kuazima kitu kwa niaba ya mtu au kitu, mfano; nimemuazimia mwanangu baiskeli kwa jirani ili aende shamba.
Nimeazimia kumfuta kazi mfanyakazi wa shamba langu.

Nimeadhimia kufuta kazi mfanyakazi wa shamba langu.

Nini tofauti hapo na ipi kazi sahihi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom