kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,306
- 7,694
Wakuu nawasalimu,
Nina shida,mwanangu anatakiwa kwenda form one Dodoma Secondary,ni day school kwa wavulana sasa hana mtu wa kukaa naye day mtu niliyemtarajia akae naye amechomoa last minute,amenivuruga vibaya mno nimechanganyikiwa,nataka nimuhamishe aende boarding shule yoyote ya serikali,naombeni wajuzi mnipe utaratibu wa jambo hili.
Asanteni