Simbamteme
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 797
- 2,110
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Nahitaji kwenda kufanyia service kagari kangu.Sasa mara ya kwanza kufanya SERVICE mtu alienifanyia SERVICE aliniwekea OIL ya 7000km.Tatizo kwa sasa hayupo amepata safari kidogo ya nje ya nchi na mawasiliano nae sina na yeye ndo anajua OIL alioiweka mwanzoni.Sasa naomba wajuzi humu mnisaidie OIL nzuri ambayo ni GENUINE ya TOYOTA ya 7000km.Naomba kuwasilisha.