Naomba kufahamishwa namna ya kutoa gari Bandarini baada ya kulifanyia malipo ukoje?

Oppomall

JF-Expert Member
Feb 8, 2017
3,496
3,591
Poleni na majukumu wakuu.
Kuna wakati TRA huwa wanauza magari pale bandarini kwa njia za minada, sasa ombi langu ni hivi.

Naomba kufahamishwa namna ya kutoa gari baada ya kulifanyia malipo ukoje? Kwamfano umeambiwa gari inauzwa milioni 10 kutakua na gharama zingine za ziada au hatua zozote zitakazohitaji wakala au mtu binafsi tu anaruhusiwa?

Naomba kuwasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa urahisi na kuokoa muda uliza wahusika, hapa story zitakua nyingi sana. Fika hata mnadani mara moja ili upate wakuuliza maswali yote.
 
Back
Top Bottom