mkaa mweusi
Member
- Jan 14, 2011
- 69
- 26
Ndugu wanajamiiforum, baada ya kufuatilia michango yangu ya NSSF nimekuta michango ya mwaka mzima haionekani katika statement yangu. Nimefuatilia kwa mwajiri wangu na amenijazia form yenye list za michango hizo.
Kwa sasa nipo Mwanza na mwajiri Alikua a anapeleka michango katika ofisi za NSSF Kinondoni. Je naweza mtuma mtu kunipelekea form hiyo ya kurekebisha michango katika ofisi za kinondoni?
Na je kwa waliowahi kurekebishiwa michango yao huwa inachukua mda gani baada ya kuwasilisha Mpaka michango kuwa sawa katika Statement?