Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Habari wanaJF,
Wakuu nimepata kazi kwenye shirika flani la Kimataifa na nimepangwa kwenda kutumikia kituo kilichopo Kigali-Rwanda.
Hivyo nimeanzisha uzi huu ili nipate mawazo ya wadau kuhusu mambo kadha wa kadha ya kimaisha kuhusu taifa ilo la Rwanda.
Je mfumo wa maisha ukoje?
Je ni yapi ya kuyaepuka nikiwa huko?
Vyakula vinavyoliwa sana ni vipi?
Wanatuchukuliaje sisi watanzania?
Tabia zao?
Na mengine mtakayoona yatanisaidia nikifika huko....