Msukuma 94
Senior Member
- Apr 21, 2017
- 133
- 91
Habari za saizi wadau? Naomba msaada kwa wanaojua taratibu za kujiunga na chuo cha hali ya hewa kilichopo kigoma
Asante kwa ushauri aiseeIf I'm not mistaken, hiki chuo National Meteorological Training Centre, kiko kama mita 300 mashariki mwa hospitali ya maweni ya mkoa wa Kigoma, kinatoa Certificate in Meteorology ambayo huwa ni mwaka mmoja na vile vile kinatoa Ordinary Diploma in Meteorology ambayo huwa ni miaka miwili, kwa mfumo ninaoufahamu Wanachuo wake wengi wanatoka TMA(Tanzania Meteorological Agency), lakini kama uko interested na field ya Meteorology kuna Bachelor of Science in Meteorology inatolewa UDSM, na huchukua miaka minne, sasa kwa upande wa NMTC,ni vyema ukaingia kwenye website yao ili uweze kupata namba na kuwaulizia kama mtu snaetaka kujidhamini mwenyewe anaweza kupata nafasi ya kusoma hapo Chuoni, shukrani that what I know.
Habari zenu wanandugu naombeni msaada kwayeyote anayejua kuhusu hii kozi ya utabiri wa hali ya hewa inayotolewa chuo cha hali ya hewa kigoma anipeufafanuzi na vipi nimarketable?
Diploma pia ipo Chuo cha majiUnatakiwa kufunguka zaidi Bro, lakini kigoma kwa maana ya National Meteorological Training Centre wanatoa Certificate kwa mwaka mmoja, na Diploma miaka miwili, ukitaka kusoma Degree iko UDSM miaka mitatu, kwa hapa kwetu muajiri mkuu ni Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania(TMA), ni field ambayo bado inahitaji wataalamu kutokana na changamoto za mabadiliko ya Hali ya Hewa, fani hii wataalamu wake wanahitajika sana katika usafiri wa anga na majini, kwenye kilimo, kwenye taasisi za elimu ya kati na ya juu, Jeshini na kadhalika, that's what I know thanks!