Naomba kufahamishwa mishahara ya Jeshi la Magereza

Lonja hadi zinatuchanganya sasa, mkeka kesho na hatujaona interview Kwa wenye fani!!!!
 
Hahahaha dah nisingetoboa aise mkuu wa wilaya alituambia form six sitaki kuwaona

Kuna mshikaji mmoja tanga Ivoivo asema form six wamekimbizwa nduki,,,,hata form four wenye 1,2,3, na 4 nzurii nzurii pia walitimuliwa
 
Wilaya ya ilemela-mwanza wamechukuliwa wasichana 2,wavulana 4 .....
Hao wanaenda mchujo wa ngazi ya mkoa
 
Sasa hebu tujuze hivi vyombo vya wizara ya ndani,wanalipwa kulingana na elimu zao au inakuaje..??
Ndy wanalipwa kulingana na elimu zao mfano degree analipwa 860,000/ basic +300,000/+100,000 jumlisha hapo utapata sh ngp!! Asikudanganye mtu taasisi za kijeshi wanatunzwa vizuri kibongo bongo wanatuzidi watumishi wengi sana,,,saivi wanapigania walipwe posho ya maji,umeme na pango ambayo si chini ya 200,000/
 
Wale ni Masikini, kumuonekano mpaka kichwani. Ni kazi ya Mwisho katika majeshi ya hovyo Bora uwe Mgambo wa Jiji
Una chuki nao bure tu mbona wana mijengo ya hatari huku uraiani yani unataka umfananishe a/magereza na mwl!!! Kwa kipato mwl anabaki nyuma sana nawafahamu mana wadogo zangu wako huko
 
Una chuki nao bure tu mbona wana mijengo ya hatari huku uraiani yani unataka umfananishe a/magereza na mwl!!! Kwa kipato mwl anabaki nyuma sana nawafahamu mana wadogo zangu wako huko

Yan brother ujue viumbe wengine buana kama unahasira za karibu unaweza ukawatukana tuu....mtu chuki zake binafsi anataka kukatisha watu tamaa...

Still bado unapewa evidence mtu wadogo zake wapo huko magereza na wanapiga hela nzurii tuu,lakini mtu bado mmbishii sasa tumfanyaje mtu kama huyu...??

Mimi naona tumsamehe bure tu
 
Tuliosoma tushaelewa tatizo linalomsumbua ila atapata shida bure maana kwanza ajue wale sio wenzie ni organ muhimu ya nchi ni moja ya vyombo vya dora dhamana yao ni kubwa mno,,,,ukiwa kijiweni utaongea chochote ila ajue wale si wenzake hata kidogo,,,kuna kamechi flani jamaa anakacheza dhidi ya hao jamaa ila ajue ile ni taasisi nyeti sana tena sana,,,tunaojua tunajua chuki haitaondoa ukweli.
 
Yan brother ujue viumbe wengine buana kama unahasira za karibu unaweza ukawatukana tuu....mtu chuki zake binafsi anataka kukatisha watu tamaa...

Still bado unapewa evidence mtu wadogo zake wapo huko magereza na wanapiga hela nzurii tuu,lakini mtu bado mmbishii sasa tumfanyaje mtu kama huyu...??

Mimi naona tumsamehe bure tu
Tz taasisi zote mashirika na huko kwingine mishahara haitofautiani saana ispokuwa kinacholeta tofauti ni nature ya kazi (WIZI)

Nina dogo yupo TPA ana diploma mshahara wake ni laki tisa kasoro ila nauwezo wa kutoka kila siku kazina na elfu 60 mpaka laki za magedo (mwaka jana alipiga dili moja akapata kama million 14)

pia nina ndugu uhamiaji ambae yeye kituo chake cha kazi ni lindi lkn toka 2016 yupo DSM anafanya magendo hayo hayo ya uhamiaji ambayo kwa siku anaingiza milion 3 mpaka 7

Walimu na magereza waaonekana choka sababu hawana magendo

polisi wana Unafuu sababu huwa wanaambulia chochote kitu huku mitaai kwenye kamari,vilabuni na magendo mengine mfano wale polisi waliokuwa wanasindikiza dhahabu wakadakwa walikuwa polisi 8 rushwa yao ilikuwa milion 400

KUWA MZALENDO TU
 
Take home Laki 4 kwa mwezi, hapo kati kuna 180 mnapewa ya msosi.

Unaishi kota, umeme maji bure, unakula cafeteria za wafungwa, hauwezi shindwa kujenga ndani ya mwaka mmoja.
ya chakula ni laki 3 saiz na ya vinywaji laki moja jumlisha mshahara laki 4.
 
Vyeo mzee (sema itatofautiana kutokana na majukumu chini kabisa warder/wardress mwenye fm 4 hawezi kuwa assigned duties sawa na mwenye diploma hivyo scale inaweza tofautiana sio sababu ya elimu nooo bali duties ambazo zinaongeza kahela ila mshahara unakua determined na Cheo na hapa Inaanzia 400k to 800k within ......ila posho zile za msosi za katika ya mwezi na ile ya 3months mnafanana jeshi zima however Posho ya Msosi ya RPO huwezi fananisha na ya Bwana Jela wote wakiwa makamishina mf.
Dogo unabishana na Askari aisee. Wewe kiboko
 
Tz taasisi zote mashirika na huko kwingine mishahara haitofautiani saana ispokuwa kinacholeta tofauti ni nature ya kazi (WIZI)

Nina dogo yupo TPA ana diploma mshahara wake ni laki tisa kasoro ila nauwezo wa kutoka kila siku kazina na elfu 60 mpaka laki za magedo (mwaka jana alipiga dili moja akapata kama million 14)

pia nina ndugu uhamiaji ambae yeye kituo chake cha kazi ni lindi lkn toka 2016 yupo DSM anafanya magendo hayo hayo ya uhamiaji ambayo kwa siku anaingiza milion 3 mpaka 7

Walimu na magereza waaonekana choka sababu hawana magendo

polisi wana Unafuu sababu huwa wanaambulia chochote kitu huku mitaai kwenye kamari,vilabuni na magendo mengine mfano wale polisi waliokuwa wanasindikiza dhahabu wakadakwa walikuwa polisi 8 rushwa yao ilikuwa milion 400

KUWA MZALENDO TU

Kishenge....mwengine huyuu apa
 
Back
Top Bottom