Naomba kufahamishwa mihula ya vyuo vya Ualimu Grade A

ostaaz

Senior Member
Jun 27, 2021
174
132
Nataka kufahamu walimu wa CHETI wanaanza lini mwaka mpya wa masomo 2021/2022?

Nilimuombea dogo chuo ila mpaka sasa sijapata majibu yyte, je nitajuaje kama amepangiwa chuo?

Naombeni wajuzi mnisaidie
 
Kuwa na subira majibu yatatoka tyuu. Bila shaka ni mwezi wa nane huwa wanaripoti au mwezi wa tisa mwanzoni
 
Nataka kufahamu walimu wa CHETI wanaanza lini mwaka mpya wa masomo 2021/2022?

Nilimuombea dogo chuo ila mpaka sasa sijapata majibu yyte, je nitajuaje kama amepangiwa chuo?

Naombeni wajuzi mnisaidie
Mkuuu uliomba nacte au wapi? Make nacte washatoa post za vijana kwenda vyuoni ,vyuo vinafunguliwa mwezi kuanzia 13/7.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Katibu mkuu Tamisemi mkuu, au utaratibu umebadilika?
Mafunzo ya ualimu wa cheti/ nursery
Utaratibu wa kuomba nafasi ya kusoma chuo grad A ni kuomba nacte ,na nacte washatoa majibu.Vigezo ni kuanzia daraja la 3 na wametoa miongozo kwa wakuu wa vyuo kama kuna mtu amechaguliwa course asioipenda aende chuo anachokiona kinamfaa apeleke vyeti vyake atadahiliwa.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Utaratibu wa kuomba nafasi ya kusoma chuo grad A ni kuomba nacte ,na nacte washatoa majibu.Vigezo ni kuanzia daraja la 3 na wametoa miongozo kwa wakuu wa vyuo kama kuna mtu amechaguliwa course asioipenda aende chuo anachokiona kinamfaa apeleke vyeti vyake atadahiliwa.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Kwahiyo hawezi kwenda Tena mwaka huu? Maana hatukutuma maombi Nacte
 
Majina ya waliochaguliwa na vyuo vya ualimu yanapatikana wapi
 
Back
Top Bottom