Naomba kufahamishwa matumizi ya WHO na WHOM

hata mimi

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
1,023
2,000
Bado... endelea kumchambulia hasa hapo kwenye SUBJECTIVE na OBJECTIVE wengi wanachanganya

Mfano 'I' na 'Me'
Ipi ni sahihi kati ya

You and I
na
You and Me

Nisiende huko kote inakuwa nahamisha mada ila kiukweli hapa (alipogusia mtoa jibu) ndipo penye hoja zote... japo kuchambua wengine hatujabarikiwa
 
Nibiru

JF-Expert Member
Jan 10, 2021
259
500

Kwa mfano huo huo
Subject pronouns include I, you, he, she, it, we, they, who, and whoever.
-I am the one who wrote the letter.
-You the one who wrote the letter
-He is the one who wrote the letter
-She is the one who wrote the letter

Object pronouns are me, you, him, her, it, us, them, whom, and whomever.
To whom was the letter addressed?
-To me.
-To you
-To him
-To Her
 
Saguda47

JF-Expert Member
May 1, 2016
8,699
2,000
Who should be used to refer to the subject of a sentence.
Whom should be used to refer to the object of a verb or preposition.

Who write this letter?
To whom was the letter addressed?
Who write this letter

Who wrote this letter
 
Bemendazole

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
634
1,000
Ziko tatu. Who, whom, whose!
Who is this boy? Kijana huyu ni nani?
Whose car is this? Gari hili ni la nani?
The boy whom we were talking about is here. Kijana tuliyekuwa tunamzungumzia, amefika.
 
Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
9,889
2,000
Ziko tatu. Who, whom, whose!
Who is this boy? Kijana huyu ni nani?
Whose car is this? Gari hili ni la nani?
The boy whom we were talking about is here. Kijana tuliyekuwa tunamzungumzia, amefika.

Pia, WHOSE;

The man whose house is big is here.

Yule mtu ambaye nyumba yake ni kubwa yupo hapa.
 
bysange

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
4,436
2,000
Ziko tatu. Who, whom, whose!
Who is this boy? Kijana huyu ni nani?
Whose car is this? Gari hili ni la nani?
The boy whom we were talking about is here. Kijana tuliyekuwa tunamzungumzia, amefika.
A child who cried several times is seriously sick.
we saw the person whose daughter is a lawyer
 
Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
4,554
2,000
images (2).png
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom