Naomba kufahamishwa logde ya bei nafuu Masaki/ Msasani

New york City

Senior Member
Jul 24, 2020
175
566
Ndugu wana Jf,

Msaada wa Lodge standard kawaida bei kawaida maeneo ya Masaki au Msasani kuna shughuli muhimu budget ya huyu mtu ni 20,000/=

Natanguliza shukrani
 
Lodge ya 20,000/= Masaki au Msasani?
Jaribu kwanza kutafuta simba wa mwitu kati kati ya Jiji.
Ukifanikiwa niambie nitakuonyesha!
 
Back
Top Bottom