Samia Suluhu ni Makamu wa Rais wa Kwanza wa Kike

Hapana shaka kuwa Mama Samia Suluhu ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wengi interms of discipline,elimu, busara na uwezo wa kuongoza.

Sina shaka kabisa na ubora wa familia yake katika malezi na makuzi ya watoto wake (kama anao)

Nina declare interest kuwa mimi ni shabiki mzuri sana wa mama Suluhu. Tatizo kubwa ni kwamba simjui vyema huyu mama.

1. Ana mume? Wa ndoa au wa 'hapa na pale'?

2. Kama ana Mume, anaitwa nani? Yuko wapi? Anafanya nini?

Hapa msitokwe na mapovu, sote tunajua Dokta Magufuli ana Mke, watoto 7 na mke wake ni Mwalimu wa shule ya Msingi, kwa Kikwete pia tuliijua familia yake.

3. Kama hana Mume, hakuwahi kuolewa? ni Mjane? hapa mkumbuke kuwa sote tunajua Mama yetu kipenzi Anne Makinda hakuwa na mume na habari yake ya huyo mume tunaijua pia. Tunajua pia mama yetu Sofia Simba hana mume wa ndoa, lakini mambo yake sio mabaya.

4. Mama Suluhu ana watoto? Wangapi? wa kike wangapi? wa kiume wangapi? Watoto wake wapo wapi hivi sasa? Tusishangae sana, tunajua Magufuli binti yake mmoja alifariki akiwa Chuo kikuu.

Kwa Jakaya tunajua yupo Ridhi, Mwanaasha, n.k. Je mama Samia hali ikoje?

Nitaendelea, kwa sasa nijibiwe hayo tu...
 
Duhh, sawa ni haki yako kujua familia za viongozi zikoje lakini kwa wengine huu ni ufukunyuku!
 
Subiri wanakuja kukujuza
 
Acha utoto na upenzi usio na mashiko, uwezo wa kuongoza umeupima na kipimo gani? Watoto wake umejuaje kuwa wamelelewa vizuri? Nonsense!!
 
Aliolewa mwaka wa 1978, kwa Bw Hafidh Ameir, ambaye wakati huo alikuwa afisa wa Kilimo .

Walijaliwa watoto wanne.

Mmoja kati ya wanawe Wanu Hafidh Ameir (1982), ni mwakilishi maalum katika bunge la Zanzibar

Image caption Bi Hassan na Dkt Magufuli wakati wa kampeni 2015
Siasa

Alijiunga na siasa mwaka wa 2000.

Wakati huo alijiunga na bunge la wawakilishi la Zanzibar kama mjumbe maalum.

Haikuchukua muda mrefu nyota yake ikaanza kung'aa na akateuliwa kuwa waziri na rais Amani Karume, akipewa wadhifa wa Waziri wa Leba, Jinsia na Watoto.

Alitumikia taifa hadi mwaka wa 2005 alipochaguliwa tena na kuteuliwa upya kama waziri, wakati huu akipewa wizara ya Utalii, Biashara na Uwekezaji katika serikali ya visiwani.

Mwaka wa 2010 alichaguliwa kuwa mwakilishi wa jimbo la Makunduchi.

Punde tu akateuliwa na rais Jakaya Kikwete kuwa waziri wa maswala ya muungano katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akihudumu chini ya Makamu wa Rais Mohamed Gharib Bilal.

Machi mwaka 2014, aliwania na kuchaguliwa kuwa makamu mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba nmjini Dodoma. Bi Hassan alichaguliwa kwa kura 390 sawa na asilimia 74.6 na kumshinda mpinzani wake Amina Abdalla Amour ambaye alipata kura 126 sawa na 24%.

Julai mwaka 2015, Dkt John Magufuli alimteua kuwa mgombea mwenza.

Wale wanaomjua Bi Hassan wanasema kuwa ni mchache wa maneno.

Nliyoyaona nayaacha hapa hapa,simwambii mtu hata mchanga nalamba...
 
Hapana shaka kuwa Mama Samia Suluhu ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wengi interms of discipline,elimu, busara na uwezo wa kuongoza.

Sina shaka kabisa na ubora wa familia yake katika malezi na makuzi ya watoto wake (kama anao)

Nina declare interest kuwa mimi ni shabiki mzuri sana wa mama Suluhu. Tatizo kubwa ni kwamba simjui vyema huyu mama.

1. Ana mume? Wa ndoa au wa 'hapa na pale'?

2. Kama ana Mume, anaitwa nani? Yuko wapi? Anafanya nini?

Hapa msitokwe na mapovu, sote tunajua Dokta Magufuli ana Mke, watoto 7 na mke wake ni Mwalimu wa shule ya Msingi, kwa Kikwete pia tuliijua familia yake.

3. Kama hana Mume, hakuwahi kuolewa? ni Mjane? hapa mkumbuke kuwa sote tunajua Mama yetu kipenzi Anne Makinda hakuwa na mume na habari yake ya huyo mume tunaijua pia. Tunajua pia mama yetu Sofia Simba hana mume wa ndoa, lakini mambo yake sio mabaya.

4. Mama Suluhu ana watoto? Wangapi? wa kike wangapi? wa kiume wangapi? Watoto wake wapo wapi hivi sasa? Tusishangae sana, tunajua Magufuli binti yake mmoja alifariki akiwa Chuo kikuu.

Kwa Jakaya tunajua yupo Ridhi, Mwanaasha, n.k. Je mama Samia hali ikoje?

Nitaendelea, kwa sasa nijibiwe hayo tu...
Siku zote vice president huwa anakuwa masked na nguvu ya rais mwenyewe so ni Mara chache kuwa noticed na kuvuta interests za wananchi... By the way hongera kwa kutaka kumjua vice president wako.. Its a gud start !
 
kp30062014.jpg

swissme
 
Aliolewa mwaka wa 1978, kwa Bw Hafidh Ameir, ambaye wakati huo alikuwa afisa wa Kilimo .

Walijaliwa watoto wanne.

Mmoja kati ya wanawe Wanu Hafidh Ameir (1982), ni mwakilishi maalum katika bunge la Zanzibar

Image caption Bi Hassan na Dkt Magufuli wakati wa kampeni 2015
Siasa

Alijiunga na siasa mwaka wa 2000.

Wakati huo alijiunga na bunge la wawakilishi la Zanzibar kama mjumbe maalum.

Haikuchukua muda mrefu nyota yake ikaanza kung'aa na akateuliwa kuwa waziri na rais Amani Karume, akipewa wadhifa wa Waziri wa Leba, Jinsia na Watoto.

Alitumikia taifa hadi mwaka wa 2005 alipochaguliwa tena na kuteuliwa upya kama waziri, wakati huu akipewa wizara ya Utalii, Biashara na Uwekezaji katika serikali ya visiwani.

Mwaka wa 2010 alichaguliwa kuwa mwakilishi wa jimbo la Makunduchi.

Punde tu akateuliwa na rais Jakaya Kikwete kuwa waziri wa maswala ya muungano katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akihudumu chini ya Makamu wa Rais Mohamed Gharib Bilal.

Machi mwaka 2014, aliwania na kuchaguliwa kuwa makamu mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba nmjini Dodoma. Bi Hassan alichaguliwa kwa kura 390 sawa na asilimia 74.6 na kumshinda mpinzani wake Amina Abdalla Amour ambaye alipata kura 126 sawa na 24%.

Julai mwaka 2015, Dkt John Magufuli alimteua kuwa mgombea mwenza.

Wale wanaomjua Bi Hassan wanasema kuwa ni mchache wa maneno.

Kumbe Ana Mume . Naomba nikuulize kikatiba makamu wa Rais akiwa mwanamke haruhusiwi kuambatana na Mume wake kwenye shughuli za maendeleo . Tunaona Rais anaambatana na mkewe VIP kwa makamu wa Rais
 
Mh hata ninayoyajua siyo yaliyotajwa na mtangulizi hapo ila sioni tija kuyaongea hapa ila mleta uzi najua kuna kitu unakijua na hili swali lako nilakimtego kujua nawengine wanajua??mimi sisemi japo najua kwaher
 
Hapana shaka kuwa Mama Samia Suluhu ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wengi interms of discipline,elimu, busara na uwezo wa kuongoza.

Sina shaka kabisa na ubora wa familia yake katika malezi na makuzi ya watoto wake (kama anao)

Nina declare interest kuwa mimi ni shabiki mzuri sana wa mama Suluhu. Tatizo kubwa ni kwamba simjui vyema huyu mama.

1. Ana mume? Wa ndoa au wa 'hapa na pale'?

2. Kama ana Mume, anaitwa nani? Yuko wapi? Anafanya nini?

Hapa msitokwe na mapovu, sote tunajua Dokta Magufuli ana Mke, watoto 7 na mke wake ni Mwalimu wa shule ya Msingi, kwa Kikwete pia tuliijua familia yake.

3. Kama hana Mume, hakuwahi kuolewa? ni Mjane? hapa mkumbuke kuwa sote tunajua Mama yetu kipenzi Anne Makinda hakuwa na mume na habari yake ya huyo mume tunaijua pia. Tunajua pia mama yetu Sofia Simba hana mume wa ndoa, lakini mambo yake sio mabaya.

4. Mama Suluhu ana watoto? Wangapi? wa kike wangapi? wa kiume wangapi? Watoto wake wapo wapi hivi sasa? Tusishangae sana, tunajua Magufuli binti yake mmoja alifariki akiwa Chuo kikuu.

Kwa Jakaya tunajua yupo Ridhi, Mwanaasha, n.k. Je mama Samia hali ikoje?

Nitaendelea, kwa sasa nijibiwe hayo tu...
Na mimi nataka uniambie kuhusu huyo Makinda, naona umemgusia kidogo
 
Mh hata ninayoyajua siyo yaliyotajwa na mtangulizi hapo ila sioni tija kuyaongea hapa ila mleta uzi najua kuna kitu unakijua na hili swali lako nilakimtego kujua nawengine wanajua??mimi sisemi japo najua kwaher
Ahahahhaaa acha uoga ndugu..
Ni-pm basi uyajuayo.
 
Back
Top Bottom