Naomba kufahamishwa kuhusu ununuaji wa magari maeneo ya Mlimani City

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
13,096
22,625
Pale opposite na mlimani city shopping center kuna vehicle /Car dealer.

Je, wajumbe kuna yoyote mwenye taarifa nao maana nataka nimuelekeze mtu kwenda kununua gari. Wasije kuwa na majanga yao!
 
Wale ni wafanyabiashara kama wengine hamna tatzo lolote ila ukienda kununua gar hakikisha unaenda na fund wako unayemuamini
 
Kikubwa na changamoto ya pale aelezwe pia.Matapeli mlimani city ni wengi kuliko real people-na hata hao madalali ukiwazoea vizuri watakwambia visanga vya hapo;

I think last year mama mmoja alikuwa atapeliwe millions sema ponea yake ni walinzi wa pale nmb sinza ndiyo waliomwokoa baada ya watu kusoma mchezo kwa mbali!.

Pia madalali wengi wa pale hawatumii their real names hivyo mm ninaona ni dalili ya watu kutokuwa Honest. Be extra carefull than ever;Believe me! Dont just trust;verify,verify,verify,verify.
 
Nina jamaa yangu nimefanya nae kazi akaacha akaenda kufungua ofisi ya kuuza magari pale unaweza kumcheki

Tenga Motors ofisi yake ipo pale mlimani tower.

+255689274700. Tenga Motors
 
Usinunue gari bongo. Utajuta
 
Nina jamaa yangu nimefanya nae kazi akaacha akaenda kufungua ofisi ya kuuza magari pale unaweza kumcheki

Tenga Motors ofisi yake ipo pale mlimani tower.

+255689274700. Tenga Motors
Ndo madalali hao. Kwa nn huangaike na madalali wakat mtu unaweza kuagiza mwenyewe Japan/UK
 
Ndo madalali hao. Kwa nn huangaike na madalali wakat mtu unaweza kuagiza mwenyewe Japan/UK

Tatizo kuagiza cost mzee, mpaka uwe na 10 millions kwenda juu.
Yaani gari ya chini IST/VITZ/Raum unayoweza kuagiza lazima mfukoni uwe na 10+ million.
 
Nasemea experience yangu chief. Nilinunua Crown kwa 6.8m mwezi 12 mwaka 2019 lakin gharama nilizotumia mpaka Sasa zinafikia 8.9m
Upo sawa kabisa, gari ya mkononi mwa mtu ni zaidi ya danger.. nilinunua gari kwa 14 million, ilianza kunichuna pesa.. nilijikuta matengezo ya hapa na pale ni zaidi ya mill 14+ juu juu around 28 mill.. kwa uchungu niliiuza milion 7 😭😭😭😭.. sitokaa ninue gari mkononi mwa mtu
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Back
Top Bottom