Naomba kufahamishwa kuhusu Singida Health Laboratory Training Centre

mhuri25

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
2,666
3,453
Shikamoni wakuu, natumaini asubuh hii mko vizuri kabisa aseeh samahani sana anaefaham hicho chuo hapo juu ni lini hasa wanaanza mwaka mpya wa masomo pia namna ya kupata joining instruction form katika ORDINARY DIPLOMA IN MEDICAL LABORATORY SCIENCE anisaidie
Ahsanteni!!!!
 
Back
Top Bottom