Naomba kufahamishwa kuhusu Show za Big Brother Africa

MalcolM XII

JF-Expert Member
Mar 19, 2019
5,230
14,190
Wakuu,

Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikisikia hii show maarufu ya Big Brother, inayowachukua watu tofauti tofauti kutoka nchi za Afrika kuingia katika mjengo mmoja na mwisho wa siku mtu kuibuka na kitita kinene.

Habari zake zilikuja kupamba zaidi baada ya Mtanzania Idris Sultan kushinda, hata sikumbuki ni mwaka gani!

Sasa nimekuja na huu uzi kwenu wana JF mnaojua au mliofuatilia baadhi ya show za Big Brother, mnipe habari zinazoendelea mule ndani; yaani namna gani mchakato unaendelea, vipi mshindi anapatikana, n.k lengo na sisi wengine tupate kufuatilia kwa misimu ijayo.

Nasikia pia kwichi kwichi zipo kiaina😎

😅😅
 
Show hiyo ilishafutwa baada ya kukosekana Mdhamini mkubwa atakaye iwezesha Kama Endemol.

Baada ya Multichoice kutawaliwa na management ya wanaija sponsor wazungu wakakaa pembeni.

Ipo Bigbrother naija ambayo Haina mvuto na kwa wapopo wenyewe huko kwao swekeni. U know

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!! Hapo mwisho chenga tu
 
Back
Top Bottom