mwarabu wa dubai
JF-Expert Member
- Nov 29, 2015
- 317
- 303
Nimepata uhamisho wa kuhamia Mkoa Mpya wa Songwe kwa yeyote ambaye ana ufahamu wa kutosha naomba anijuze ni Wilaya gani kwa kufanyia kazi kwa kuzingatia unafuu wa maisha,ubora wa miundo mbinu,hali ya hewa and so forth napenda kuwasilisha mbele yenu wana jukwaa.