Naomba kufahamishwa kuhusu mkoa mpya wa Songwe

mwarabu wa dubai

JF-Expert Member
Nov 29, 2015
320
500
Nimepata uhamisho wa kuhamia Mkoa Mpya wa Songwe kwa yeyote ambaye ana ufahamu wa kutosha naomba anijuze ni Wilaya gani kwa kufanyia kazi kwa kuzingatia unafuu wa maisha,ubora wa miundo mbinu,hali ya hewa and so forth napenda kuwasilisha mbele yenu wana jukwaa.
 
Marunde

JF-Expert Member
Jun 9, 2008
542
1,000

Kijana jaka vwawa wilaya ya mbozi pako poa sana naamini ukienda huko hutatani kuhama; vwawa ndio makao makuu ya mkoa
 
tutafikatu

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
1,873
2,000
Halmashauri ya mji Tunduma (nadhani wilaya ya Momba) kulikuwa vizuri. Sijui kwa sasa.
 
Geechie

JF-Expert Member
Oct 26, 2015
976
1,000
Mada yako inachanganya inasema umepangiwa kuhamishiwa kituo cha kazi songwe halafu unauliZia wilaya gani iko poa,naamini barua yako ya kuhamishwa imeeleza kituo chako cha kazi,nijuavyo songwe sio kama dar kuwa waweza ishi tabata iliyoko ilala ofisi zako zikawa mikocheni kino,songwe mtiti ukiwa vwawa na ileje ni safari ya kutosha so stick kuuliza kwenye kituo husika ulichopangiwa wadau watakupa mawazo na michango ya kutosha.
 
92mtl

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
462

teh labda idara imemwambia achague wilata ya kwenda
 
Ngigana

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
1,715
2,000
chunya iko songwe mkuu. hiyo wilaya unayotaja kuwa ni songwe ndiyo chunya. inatokana na jimbo la usongwe. mkoa wa songwe unashape ya kipete cha jua lililopatwa majuzi:rolleyes:
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom