NAOMBA KUFAHAMISHWA KUHUSU "LUGALO MILITARY HEALTH COLLEGE"

sura mbaya

Member
Mar 5, 2013
80
5
Wana JF naomba kufamishwa:
1) Mwaka jana 2018 chuo cha lugalo kilifungiwa na nacte. Naomba kufahamushwa kama kimeruhusiwa kufanya udahili tena.
2) Nilijaribu kumtuma mtu akanichukulie form ya kujiunga akaambiwa aingie website ya NACTE lakini hatuja fanikiwa. Naomba kufahamishwa jinsi ya kujisajili na chuo cha lugalo. Nimejaribu kufungua website http://www.mcmslugalo.ac.tz haifunguki kabisaaa.
Naomba kuwasilisha kwenu wakuu.
 
Udahili umefungwa, hakuna slot for the second applications! Soma attachment hii itakupa mwanga.
Ulifanya makosa, hakuna paper applications vyuo vya serikali NACTE, vyote ni kwa mtandao. Ushindani wa Lugalo ni mkubwa, nadhani wote waliochaguliwa ni div 1. Tatizo ni kuwa waliokwenda A level wakadunda, wanarudi na div 1 nzuri wanaomba huko!
 
Attachments

  • Taarifa-kwa-Umma-Udahili-awamu-ya-Pili.pdf
    81.7 KB · Views: 31
Back
Top Bottom