Naomba kufahamishwa kuhusu Kozi ya Bachelor in Business Administration (BBA)

0swagg

Member
Jun 29, 2020
36
12
Jamani naomba kufahamishwa kwa undani kuhusu hiyo fakati:

1. Ajira zake zinapatikana? (ikiwezekana na mifano)
2. Inahusika na nini? Unaajiriwa kwenye Sekta gani? Ni hayo tu
3. Vyuo gani bora kwenye hiyoo kozi kati ya CBE NA T.I.A

Tupeane madini.
 
Kama ndio option yako na iko ndani ya uwezo wako kasome, ukishakuwa na degree yako swala la kupata kazi ni kumtanguliza Mungu, utapata tu, au hujawahi kusikia waandishi wa habari wamekuwa wakuu wa wilaya au wakurugenzi,sembuse wewe na kozi yako ya utawala!hiyo ni mifano tu.
 
Back
Top Bottom