hansluvanga
Member
- Apr 18, 2014
- 96
- 25
Wazee kuna kozi uko pale DMI inaitwa marine engineering technology ajira yake ikoje
Ajira xio bongo tu hata mbeleSoma uongeze maarifa uje kujiajiri.
Kama madaktari hawajatosha kwenye hospitali zetu na ajira hawana unaongelea ajira gani tena?
Siku hizi tunajiajiri.