Naomba kufahamishwa kuhusu gharama za SUMATRA

keygun

Senior Member
Jun 11, 2016
114
54
Naomba kufahamishwa gharama za sumatra kwa chombo kama bajaji maana nimejaribu kufuatilia kwenye web yao naona web yao sio friend user haijielezi kwa urahisi, nimenunua bajaji used na haijalipiwa sumatra je natakiwa kulipia kiasi gani ? au malipo ya sumatra yameshafutwa kwa chombo kama bajaji ? mwenye uzoefu na biashara hii please ?
 
Back
Top Bottom