Naomba kufahamishwa kuhusu gari aina ya Mitsubishi Fuso bus seat 45

Lwamadovela

JF-Expert Member
Mar 5, 2019
325
235
Wajameni najua hapa kuna watalamu wa kutosha.mitsubishi fuso bus seat 45 mpaka niimiliki bei gani?vipi uimara wake? Inaweza kwenda kwa miaka mingapi?

Kwa safari za km 420 kwa siku.
 
Back
Top Bottom