Naomba kufahamishwa kuhusu Computer test interview

Kitwego

Member
Mar 2, 2021
14
13
Habari zenu wapendwa,

Jamani naomba msaada kwa aliyewahi kufanya computer test interview na shirika la Peace Corps, huwa hasa wanabase kwenye kitu gani?

Asante sana
 
Wanaulizaga maswali ya kupima uelewa wa kawaida
Maranyingi yanakuwa maswali ya multiple choice
Na pia time based ukichelewa tu kujibu swali , linaondoka linakuja jingine au muda ukiisha system inajifunga
Maswali yao yanakuwa very trick na majibu yanakuwa yanafanana sana yanataka maauzi yaharaka ili kwenda na muda
 
Back
Top Bottom