Naomba kufahamishwa kiwango cha elimu ya Rais Samia Suluhu Hassan

Mwacheni mama ainyeshe uwezo wake digrii ni Cheti tu mkuu
Katiba yetu inataja degree kama moja ya simu za mtu ili awe rais mkuu.sasa tunaapa kulinda katiba ipi sasa au tuipige chini tu kama tunashindwa kufuata utaratibu tuliojiwekea wenyewe
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Wenye vyeti feki hamuwezi kumuelewa Magufuli
Vyeti feki alikuwa navyo yeye.

Mbona hakukagua jeshini na bungeni. Hilo zoezi lilikuwa ni uonevu mwingine.

Mimi kuhusu taaluma sina makando kando, hata JINA ni langu from day one mpaka namaliza shule.
 
😂😂😂😂😂Hapo ndipo ninakupenda kwa kupiga mule mule bila kukwepesha. Masters ya kuunga unga!!! Mh! Unapataje Masters kabla ya kuwa na Degree!? Itakuwa ni Masters ya mtandaoni hii miezi tisa unabeba cheti chako. Kama Masters ya Magufuli ailiyofanya “nje” huku akiwa Waziri na huko nje hakuwahi kwenda kuifanyia kazi Masters yake.
Hana ila ana masters ya kuunga unga. Huyo alifeli form four,sema aliunga unga. Ila katika maisha mwisho ndo unaocount. Nampongeza baada ya kufeli skuli,hakukata tamaa.
 
Unaweza ukawa na Advance diploma utaenda masters kama sikosei, na inategemea Uko wapi na unafanya nini kuna wakati ukishakua mtu mzima qualifications sio kipaumbele zaidi ya work experience yako
Hilo linawezekana, ila Advance Diploma ni equivalent to degree but sijui kama katiba imeongelea/imetaja pia swala la equivalent qualification kwa wasio na degree ila wanataka kugombea hiyo nafasi.
 
PhD gani ya kuungaunga! Mwenye elimu kubwa ni Dr Jakaya mwenye Phd isiyokuwa na shaka.
Kikwete alikuepo na Degree moja ya uchumi kilimo . Na yenyewe ilikuepo alipata gentlemen degree yenye matokeo ya chini kabisa. Hizo zote Kikwete alitunukiwa tuu na wazungu asilimia kubwa. Nyerere degree ya ualimu Makelele university na Magufuli ana PhD ya chemistry, MSc chemistry na BSc education chemistry and mathematics
 
Wenye degree wametengeneza nini hapa Tanzania ata sindano ya kushona nguo ime washinda!
 
Kwa wajuzi naomba kujua kiwango cha elimu Cha Rais wetu wa sasa mama Samia Suluhu Hassan na pia kujua viwango vya elimu vya Marais watano waliopita na siyo vibaya tukaujua ni Rais yupi alikuwa na elimu kubwa zaidi na Rais yupi alikuwa na elimu ndogo. Lengo ni kufahamu wasifu na historia za viongozi wetu wakuu wa nchi.

Lakini pia naomba kujuzwa katika Katiba kuna kipengele kinachozungumzia suala la kiwango cha elimu anachopaswa kuwa nacho Rais wa nchi au halijatajwa hilo.

Je, kiwango cha elimu kina athari gani kwa uongozi mkubwa kabisa katika nchi? Hili ningependa nijulishwe na wabobezi wa siasa.
Huyo msukuuma wenu aliye kuwa DR.alilifanyia nini taifa zaid ya kupandikiza chuki na ukabila usio na tija
 
Kwa wajuzi naomba kujua kiwango cha elimu Cha Rais wetu wa sasa mama Samia Suluhu Hassan na pia kujua viwango vya elimu vya Marais watano waliopita na siyo vibaya tukaujua ni Rais yupi alikuwa na elimu kubwa zaidi na Rais yupi alikuwa na elimu ndogo. Lengo ni kufahamu wasifu na historia za viongozi wetu wakuu wa nchi.

Lakini pia naomba kujuzwa katika Katiba kuna kipengele kinachozungumzia suala la kiwango cha elimu anachopaswa kuwa nacho Rais wa nchi au halijatajwa hilo.

Je, kiwango cha elimu kina athari gani kwa uongozi mkubwa kabisa katika nchi? Hili ningependa nijulishwe na wabobezi wa siasa.
Huyo mwenye Phd mbona katugalagaza Mpaka Basi.Alafu huyo jamaa yako Twitter si nasikia Ni wale jamaa watatu? Alafu majungu usipende kuleta huku.
 
Adi sasa nina pata wasiwasi na akili za badhi yetu humu eti tuna jadili degree!
 
Back
Top Bottom