Naomba kufahamishwa juu ya kozi ya Cyber Security and Digital Forensic Engineering

Ngokoyape

Member
Feb 15, 2021
11
3
Habari ya saa hizi ndugu zangu.

Naomba msaada kwa yeyote mwenye detail na kozi ya CYBER SECURITY AND DIGITAL FORENSIC SCIENCE inayofundishwa Chuo Kikuu cha Dodoma.

Kuna mdgo wangu anahitaji kusoma hiyo kozi nawaalikeni tumsaidie mdgo wangu.
 
Same hapa, naomba details ninauhitaji
Habari ya saa hizi ndugu zangu.

Naomba msaada kwa yeyote mwenye detail na kozi ya CYBER SECURITY AND DIGITAL FORENSIC SCIENCE inayofundishwa Chuo Kikuu cha Dodoma.

Kuna mdgo wangu anahitaji kusoma hiyo kozi nawaalikeni tumsaidie mdgo wangu.
Nenda kwenye website yao then download prospectus usome.
 
Habari ya saa hizi ndugu zangu.

Naomba msaada kwa yeyote mwenye detail na kozi ya CYBER SECURITY AND DIGITAL FORENSIC SCIENCE inayofundishwa Chuo Kikuu cha Dodoma.

Kuna mdgo wangu anahitaji kusoma hiyo kozi nawaalikeni tumsaidie mdgo wangu.
wakikujibu unitag mkuu
 
All i have ni inahitaji advanced Math na other Science Subjects
 
Download TCU guide book ya mwaka jana wameweka Requirements though ni Principle pass tu "D"
 
Back
Top Bottom