Naomba kufahamishwa jinsi ya Kuweka Ukomo wa matumizi ya data katika internet

mludego

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
2,395
3,197
Msaada wana jukwaa, nimekua na tatizo la matumizi makubwa ya bando mpaka imekua kero kwangu kujiunga unga mara kwa mara na vifurushi vya internet.

Hata zile apps zinazo tumia data huwa nazi shutdown lkn tatizo lipo pale pale , pia sio mtu wa kuangalia videos mtandaoni kiviile lkn kifurushi kinaisha before the date na mara nyingi huwa nanunua kifurushi cha week Chenye GB 1 kwa mtandao wa Halotel na tigo.

Tafadhali naomba mwenye kufahamu ni kwa namna gani naweza kuweka data limitation ktk simu mfano nataka nitumie MB 400 pekee kwa wakati huo na hizo MB 600 zibaki hivyo hivyo ata kama Niko online nitumiwe alert ya taarifa kuwa nimefikia matumizi ya mb fulani

NB natumia samsung j6+ asante karibuni

cc CHIEF MKWAWA
 
Mhu sasa GB 1 hiyo ni sio ya kusemana mkuu inashia tu kwenye ku expand files na kama hua una fungua tethering ama una share Datta kwa usb tethering pia acha mala moja

Kingnie ka GB 1 ni kadogo sana mdhee aan hako khaa
 
Kingnie ka GB 1 ni kadogo sana mdhee aan

Mhu sasa GB 1 hiyo ni sio ya kusemana mkuu inashia tu kwenye ku expand files na kama hua una fungua tethering ama una share Datta kwa usb tethering pia acha mala moja

Kingnie ka GB 1 ni kadogo sana mdhee aan hako khaa
Unaandika nini wewe? Jikite kwenye mada mkuu ningeainisha hayo uliyoandika ila kwakua huwa siyatumii ndio maana huja yaona kwenye thread,

Pia GB 1 ni kwa uwezo nilio nao mkuu, acha madharau
 
Hahahahaha mbona povu jingi mdhee
 
Set a Daily limit for your mobile data​

To help manage your mobile data, set up a Daily limit in Datally. Datally notifies you when you've reached this limit, so you can decide to keep using data or block data usage until the end of the day.

How it works​

Datally counts all mobile data usage for the day and notifies you when you're approaching a specified limit and again when you reach the limit.
For example, if you set the Daily limit to 30MB, you're notified when you reached 30MB.
Note: Daily limit doesn’t work if Data Saver is off.

Set a Daily limit​

  1. On your Android phone, open Datally.
  2. Tap Daily limit.
  3. Set the amount you can use in a day.
  4. Tap Set a daily limit.
Note: If you set the Daily limit lower than the amount you already used in a given day, you're notified right away. For example, if you already used 35MB and set your limit to 30MB, you're notified that you've reached your Daily limit.

Block or allow data after you reach your Daily limit​

To manage the Daily limit, you have 2 options:

Control with a bottom sheet:​

  • When you reach the Daily limit, a bottom sheet pops up.
    • If you want to block mobile data until the end of the day (12 a.m.), tap Block for today.
    • If you want to keep using data, tap Ignore.

Control with Datally:​

  1. On your Android phone, open Datally.
  2. Tap Daily limit.
    1. If you want to block mobile data until the end of the day (12 a.m.), tap Block data for today.
    2. If you want to turn off Daily limit, tap Turn off
 
Angalau hapa naona mwanga, hiyo fatally or daily limit naipata sehemu gani kwenye simu ya android
 
Sijajua unatumia simu gani maana nahisi settings za simu hutofautiana misamiati, nizungumzie kwa simu yangu mengne utajiongeza kwa simu yako.
Huwa naweka "Data saver " ON, afu naweka zile background apps znazokula data kwa kasi zisiwe active, hasa ile Auto Sync kwa apps km Google drive, pia naweka limit ya data kwa siku ili kikifikia kile kiwango data znazima zenyewe ila nkitaka ziendelee nakuwa naona kiasi kinachoongezeka so inakuwa rahisi kujipimia.
Pia playsoresiruhusu apps zijiupdate automatically. Ile auto update naiweka off .
Screenshot_20211209-084551_Settings.jpg
Screenshot_20211209-084512_Settings.jpg
Screenshot_20211209-084434_Settings.jpg
 
Sijajua unatumia simu gani maana nahisi settings za simu hutofautiana misamiati, nizungumzie kwa simu yangu mengne utajiongeza kwa simu yako.
Huwa naweka "Data saver " ON, afu naweka zile background apps znazokula data kwa kasi zisiwe active, hasa ile Auto Sync kwa apps km Google drive, pia naweka limit ya data kwa siku ili kikifikia kile kiwango data znazima zenyewe ila nkitaka ziendelee nakuwa naona kiasi kinachoongezeka so inakuwa rahisi kujipimia.
Pia playsoresiruhusu apps zijiupdate automatically. Ile auto update naiweka off .View attachment 2037877View attachment 2037878View attachment 2037879
Shukrani mkuu lkn aina ya simu nimeitaja ,au umesoma tuu heading?
 
Sikuona mkuu, ila inshort ndo ivo, chunguza kwanza ni app gani inayokula sana data zako. Hasa zile zinazorun background, na youtube pia unaweza kwenda setting ukaset video zisiplay kwa ubora wa hali ya juu ili kusev data.
Screenshot_20211209-133854_YouTube.jpg
Screenshot_20211209-133811_YouTube.jpg
 
Back
Top Bottom