Naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeneza Bio Gas digester at home

Ngamba

JF-Expert Member
Jun 6, 2013
748
148
Naomba msaada jinsi ninavyoweza tengeneza bio gas digest ndogo nyumbani, nataka tengeneza kwa kutumia tank ya lita 100 kwa kutumia malighafi(materials) ninayoweza kupata kwa urahisi ni garama nafuu.

Nashukuru kwa msaada nitakaopata
 
Vip ulifanikiwaga mm nataka nipate na umeme kwajili ya water pump
 
1.Andaa chombo chako either pipa la litre 200 lizibe vizuri kabisa kisha toboa pipa hilo uelekeo wa 60% kutokea chini.Hapo utaweka pipe ya mpira itakayopitisha gesi, pipe iwe na lock (koki)
2. kwa kila 1kg ya kinyesi kibichi weka litre 20 za maji, so kwa litre 100 utahitaji kilo tano za kinyesi kibichi
3. Changanya vizuri, na hakikisha Hamna sehemu yoyote inayopitisha hewa na mivujo
4. Acha kwa siku nne au zaidi, zikifika siku nne fungua koki yako kisha utaona gesi inatoka na ukiwasha kwa kibiriti utaona inawaka
 
Kwa water pump nakushauri utumie mvuke kuliko kutumia biogas, kwasababu itabidi uwe na tank kubwa pia uwe na generator (methane) etc.
Ukitumia mvuke unatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo
1. Sufuria au chombo chochote kinachoweza kuchemsha maji na kuhimili moto, chombo kizibwe vizuri na kiwe na sehemu moja tu inayopitisha mvuke
2. Parabolic solar cooker, unaweza kutengeneza simple kwa kukata box katika umbo la duara kisha ukatafuta katikati ya duara na kuchora mistari katika duara lako, kila mstari utakuwa na nyuzi 45° kwahiyo utapata mistari nane utachana kwa kiwembe ile mistari kwa umbo la V ila iwendogo sana, zzile nafasi utaziziba kwa kutumia gundi automatic utaona like boksi lako limekuwa parabola,
3.Tafuta vioo na uvivunje vunje katika umbo la kawaida kama kiganja then kila kioo kiwe na gundi upande ule wenye rangi kisha gundisha kwenye uso wa parabola , parabola yako yote ijae kioo, wengine wanatumia aluminium foil but kioo ni kizuri kwasababu reflective index yake ni kubwa
4. Jaza maji kwenye sufuria lako ( wanashauri sufuria uipake rangi nyeusi ili iweze kusharabu joto)
4. Elekezea miale iliyokusanywa kwenye kioo ipige sufuria lako then subiri maji yachemke
5. Andaa dynamo iongezee mapanga ule upande unaozunguka, Yale mapanga utayasogeza kwenye ile sehemu ambayo mvuke unatoka, so mapanga yatazungushwa na mvuke, dynamo itatoa 12v waya wake utaynganisha kwenye battery na pale kwenye battery utaweka inverter inayoendana na power ya pump.
Enjoy
 
Safi sana mkuu, maelezo yamenyooka
 
Hii bio gas naweza kupikia jikoni? Yaani ikawa mbadala wa gesi?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa water pump nakushauri utumie mvuke kuliko kutumia biogas, kwasababu itabidi uwe na tank kubwa pia uwe na generator (methane) etc.
Ukitumia mvuke unatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo
1. Sufuria au chombo chochote kinachoweza kuchemsha maji na kuhimili moto, chombo kizibwe vizuri na kiwe na sehemu moja tu inayopitisha mvuke
2. Parabolic solar cooker, unaweza kutengeneza simple kwa kukata box katika umbo la duara kisha ukatafuta katikati ya duara na kuchora mistari katika duara lako, kila mstari utakuwa na nyuzi 45° kwahiyo utapata mistari nane utachana kwa kiwembe ile mistari kwa umbo la V ila iwendogo sana, zzile nafasi utaziziba kwa kutumia gundi automatic utaona like boksi lako limekuwa parabola,
3.Tafuta vioo na uvivunje vunje katika umbo la kawaida kama kiganja then kila kioo kiwe na gundi upande ule wenye rangi kisha gundisha kwenye uso wa parabola , parabola yako yote ijae kioo, wengine wanatumia aluminium foil but kioo ni kizuri kwasababu reflective index yake ni kubwa
4. Jaza maji kwenye sufuria lako ( wanashauri sufuria uipake rangi nyeusi ili iweze kusharabu joto)
4. Elekezea miale iliyokusanywa kwenye kioo ipige sufuria lako then subiri maji yachemke
5. Andaa dynamo iongezee mapanga ule upande unaozunguka, Yale mapanga utayasogeza kwenye ile sehemu ambayo mvuke unatoka, so mapanga yatazungushwa na mvuke, dynamo itatoa 12v waya wake utaynganisha kwenye battery na pale kwenye battery utaweka inverter inayoendana na power ya pump.
Enjoy
Asante ngoja nitaifanyia kazi.
 
Back
Top Bottom