Naomba kufahamishwa ilipo sober house dar

mfocbsjut

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
473
246
Habari wana jf
Naomba kufahamu ilipo sober house inayohusika na kurekebisha walioathirika na madawa ya kulevya. Nimeambiwa ipo hapa dar, lakini sijajua ni sehemu gani. Asanten
 
Jamani wana Jf kuna mtu ana mawasiliano ya hawa jamaa wa sober house hapa dar kule kigamboni au popote hapa dar, nina ndugu hapa ambaye ni tatizo hapa.
 
Jamani wana Jf kuna mtu ana mawasiliano ya hawa jamaa wa sober house hapa dar kule kigamboni au popote hapa dar, nina ndugu hapa ambaye ni tatizo hapa.

Rehema Chalamila a.k.a Ray C ana foundation inayohusika na aya mambo fanya kumcheki instagram kwa jina la rayc82 mpe hii habari naamini atakupa msaada kwenye tatizo lako.
 
Back
Top Bottom