Naomba kufahamishwa huduma ya Waxing

KASULI

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
599
669
Samahani wadau napenda kufaham kuhusu hii huduma ya Waxing.

1. Inatolewaje na utolewa na akina nani?

2. Mfno ukifanya waxing ya kwapa au kule kwa bibi nywele/,vinyweleo uota baada ya muda gani?

3. Tofauti na Saloon unaweza pata wapi material na ni kiasi gani?

4. Madhara yake ni Yapi?

5. Kwa wale mlioko Mwanza Saloon gani ina hizi huduma/ Utolewa wapii.

Naomba kuwasilisha.
 
Huo ujasiri wa kuonyesha mtu nyuchi yako akufanyie waxing. Umejiandaa na yafuatayo?
Hiyo huduma mbona ni common sana na mara nyingi hufanya wanawake kwa wanawake wenzao,(wapo wanaume pia), unaweza ukanunua mwenyewe vifaa ukafanya nyumbani kwako ukiwa na mwenza wako,

Nywele zinaweza kuchukua hadi mwezi kuota tena na ukijizoesha basi zinakua zinaota zikiwa lainiii sio za kukakamaa, pia waxing inasaidia kukukinga na mapele na weusi ambao hupata wale wanaonyoa kwa viwembe,

NB: kazi ya Waxing inasomewa na mtu anapata cheti cha mafunzo ili apate leseni, kumbuka ni mtu anayedeal na ngozi za binaadam kwa hivyo ni lazima awe na idea na anachokifanya, labda kibongo bongo ndio mambo huenda vululu vululu.
 
Samahani wadau napenda kufaham kuhusu hii huduma ya Waxing.

1. Inatolewaje na utolewa na akina nani?

2. Mfno ukifanya waxing ya kwapa au kule kwa bibi nywele/,vinyweleo uota baada ya muda gani?

3. Tofauti na Saloon unaweza pata wapi material na ni kiasi gani?

4. Madhara yake ni Yapi?

5. Kwa wale mlioko Mwanza Saloon gani ina hizi huduma/ Utolewa wapii.

Naomba kuwasilisha.
Hii huduma hutolewa na saloon mbali mbali

Uota kuanzia mwezi na kuendelea

Material yanapatikana kwenye maduka ya cosmetics.

hakuna madhara zaidi ya maumivu kidogo tu wakati wa kutoa hizo nywele.
 
Samahani wadau napenda kufaham kuhusu hii huduma ya Waxing.

1. Inatolewaje na utolewa na akina nani?

2. Mfno ukifanya waxing ya kwapa au kule kwa bibi nywele/,vinyweleo uota baada ya muda gani?

3. Tofauti na Saloon unaweza pata wapi material na ni kiasi gani?

4. Madhara yake ni Yapi?

5. Kwa wale mlioko Mwanza Saloon gani ina hizi huduma/ Utolewa wapii.

Naomba kuwasilisha.
1.saloon zenye huduma hiyo wanaandika 'waxing' na aina zake
2.mwezi plus
3.sijui
4.haina madhara.,ina maumivu makali ya muda mfupi
5.sijui..jaribu saloon za mjini katikati
 
Samahani wadau napenda kufaham kuhusu hii huduma ya Waxing.

1. Inatolewaje na utolewa na akina nani?

2. Mfno ukifanya waxing ya kwapa au kule kwa bibi nywele/,vinyweleo uota baada ya muda gani?

3. Tofauti na Saloon unaweza pata wapi material na ni kiasi gani?

4. Madhara yake ni Yapi?

5. Kwa wale mlioko Mwanza Saloon gani ina hizi huduma/ Utolewa wapii.

Naomba kuwasilisha.

unataka waxing gani ? maana zipo nyingi mpaka za mfereji , sidhani kama hapo Mwanza kuna huduma hii, ingia youtube utakuta maelekezo utengeneze wax yako kwa asali au sukari
 
Samahani wadau napenda kufaham kuhusu hii huduma ya Waxing.

1. Inatolewaje na utolewa na akina nani?

2. Mfno ukifanya waxing ya kwapa au kule kwa bibi nywele/,vinyweleo uota baada ya muda gani?

3. Tofauti na Saloon unaweza pata wapi material na ni kiasi gani?

4. Madhara yake ni Yapi?

5. Kwa wale mlioko Mwanza Saloon gani ina hizi huduma/ Utolewa wapii.

Naomba kuwasilisha.
Ulipata huduma?
 
Hiyo huduma mbona ni common sana na mara nyingi hufanya wanawake kwa wanawake wenzao,(wapo wanaume pia), unaweza ukanunua mwenyewe vifaa ukafanya nyumbani kwako ukiwa na mwenza wako,

Nywele zinaweza kuchukua hadi mwezi kuota tena na ukijizoesha basi zinakua zinaota zikiwa lainiii sio za kukakamaa, pia waxing inasaidia kukukinga na mapele na weusi ambao hupata wale wanaonyoa kwa viwembe,

NB: kazi ya Waxing inasomewa na mtu anapata cheti cha mafunzo ili apate leseni, kumbuka ni mtu anayedeal na ngozi za binaadam kwa hivyo ni lazima awe na idea na anachokifanya, labda kibongo bongo ndio mambo huenda vululu vululu.
Leo ndo mara ya kwanza kusikia.
 
Mwanza iko pale mbege mkolani Kati Kati ya password na mbege....Kuna kigorofa kinauza oil kwa mbeni Kuna Kama kiofisi Cha kutengeneza ngozi....utapata huduma.binafsi nafanya hiyo huduma kwa mabinti karibu sanaa
 
Back
Top Bottom