Naomba kufahamishwa haya kwa waliokosa vyuo mwaka jana

Msukuma 94

Senior Member
Apr 21, 2017
133
91
Habarini wanaJF naomba kujua kuhusu form 6 waliomaliza mwaka jana na walikosa sifa za kujiunga vyuo vikuu ivyo serikali ikatoa tamko la kuwataka kujiunga na JKT je walipata fursa ya kuendelea na jeshi au walirejea makwao baada ya kuhitimu?. Nina ndugu yangu nae kakosa sifa za kuingia chuo je anaweza kujiunga kama awamu ya pili ya JKT itatoka?
 
Huwa kuna nafasi zinatolewa na jeshi na wanafanya usahiri kujiunga.

Ila tusubiri wenye info zaidi
 
Back
Top Bottom