Naomba kufahamishwa gharama za kujiunga Makongo high school

muddy1345

Member
May 21, 2015
69
36
Kwav yeyote anaefahamu gharama za kusoma makongo high skul, naomba anipe mchangauo wa,
1. Ada
2. Hostel
3. Na mengineyo km yapo
 
Back
Top Bottom