frabel
Member
- Mar 13, 2021
- 96
- 60
Njoo in box nikupe hesabu ,Habari zenu wakuu, nilitaka kuanza ujenzi ila kwa awamu, sasa nimemuuliza mchora ramani (kuna ramani nataka kuichukua kutoka kwake) vyumba ni vitatu (master included) nikamuuliza msingi wake unaweza kugharimu bei gani?
kaniambia mil 12 kidogo nizimie.
Ambao mmejenga naombeni mnijuze mlitimia sh ngapi kwenye msingi
Wasap 0753927572
Njoo na
1-Vipimo
2-Hali ya uwanja (flat au slop)
3-Eneo liko mko na wilaya gani