Naomba kufahamishwa gharama ya kubadili kadi ya umiliki wa gari

changaule

JF-Expert Member
Jan 10, 2020
5,587
9,179
Wakuu habarini za majukumu, naomba kufahamishwa gharama ya kubadili kadi ya umiliki wa gari / bajaji ni kiasi gani cha pesa?
Na gharama ya kukata kibali cha Sumatra ni bei gani?
 
Kwaajili ya kununua tena gari?
DFh.jpg
 
Back
Top Bottom