Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,246
- 34,196
Kwani aliye ku dezainia hilo ghorofa lako hayupo? Kama ameku dizainia anashindwa vipi kukupa makadirio ya bei?Habarini za saa hizi wana JF,
Nina mawazo ya kujenga shambani kwangu lakini ni kighorofa cha floor moja tu ambapo juu nitaweka Master bedroom, ofisi na balcon tu kwa ajili yangu na mke wangu ila watoto na wageni watalala upande wa chini.
Sasa nilikuwa naomba kujua gharama za kupandisha slab na zile nguzo zake pamoja na beam yaani (skeleton structure) yote inaweza kufika kiasi gani?
Shukrani...