Naomba kufahamishwa gharama ya Floor slab

balimar

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
6,289
2,000
Habarini za saa hizi wana JF,

Nina mawazo ya kujenga shambani kwangu lakini ni kighorofa cha floor moja tu ambapo juu nitaweka Master bedroom, ofisi na balcon tu kwa ajili yangu na mke wangu ila watoto na wageni watalala upande wa chini

Sasa nilikuwa naomba kujua gharama za kupandisha slab na zile nguzo zake pamoja na beam yaani (skeleton structure) yote inaweza kufika kiasi gani?

Shukrani ...
IMG-20210909-WA0026.jpg
 
Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
16,872
2,000
Habarini za saa hizi wana JF,

Nina mawazo ya kujenga shambani kwangu lakini ni kighorofa cha floor moja tu ambapo juu nitaweka Master bedroom, ofisi na balcon tu kwa ajili yangu na mke wangu ila watoto na wageni watalala upande wa chini

Sasa nilikuwa naomba kujua gharama za kupandisha slab na zile nguzo zake pamoja na beam yaani (skeleton structure) yote inaweza kufika kiasi gani?

Shukrani ...
Hivyo vyumba vya chini ujue ndo vyumba vyako na mkeo mkizeeka.Then watoto watapanda ghorofani
 
MoseeYM

Senior Member
Jul 19, 2021
125
250
Juu pekee inaweza tu kuwa mita 8 kwa 8, ila chini inafika mita 10 kwa 15
Kwa framed structure (Beams,slabs,column) utatumia approx 50M.Lkn hii itategemea na michoro yako ikoje,mkoa/ mahali unapojenga, wataalamu utakaowatumia,lkn pia kubadilika kwa gharama za materials
 
MoseeYM

Senior Member
Jul 19, 2021
125
250
. Kwa framed structure (Beams,slabs,column) utatumia approx 50M.Lkn hii itategemea na michoro yako ikoje,mkoa/ mahali unapojenga,wataalamu utakaowatumia,lkn pia kubadilika kwa gharama za materials
Ukihitaji maelezo zaidi nicheki Pm nikupe uzoefu

Kuna kazi kama hiyo nimeifanya.
 
Kobello

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
7,735
2,000
Habarini za saa hizi wana JF,

Nina mawazo ya kujenga shambani kwangu lakini ni kighorofa cha floor moja tu ambapo juu nitaweka Master bedroom, ofisi na balcon tu kwa ajili yangu na mke wangu ila watoto na wageni watalala upande wa chini.

Sasa nilikuwa naomba kujua gharama za kupandisha slab na zile nguzo zake pamoja na beam yaani (skeleton structure) yote inaweza kufika kiasi gani?

Shukrani...
Kwa standards za kawaida, suspended slab inakuwa na thickness ya 0.125m.
8x8x.125 = 8 cubic meters of concrete.

Ambayo ni kama mifuko 70 ya cement.
7 cubic meters za kokoto.
4 cubic meters za mchanga.
Hii ni kama concrete ni M20 na ujatoa space ya ngazi (ngazi zipo kwa nje).

Steel kwenye suspended slab inatakiwa 80kg/cubic meter.
Kwenye 8 cubic meters utahitaji 640kg of steel (price index ya steel ni appr. 1000$/tonne).

Slab peke yake itakugharimu kama milioni 5 au 6.

Usisahau mabomba ya wiring.
 
Trendz

Senior Member
Jun 27, 2021
111

Shukran sana aisee maelezo yanajieleza yenyewe kabisa
 
Azathioprine

JF-Expert Member
Sep 16, 2013
516
500
Kwa standards za kawaida, suspended slab inakuwa na thickness ya 0.125m.
8x8x.125 = 8 cubic meters of concrete.

Ambayo ni kama mifuko 70 ya cement.
7 cubic meters za kokoto.
4 cubic meters za mchanga.
Hii ni kama concrete ni M20 na ujatoa space ya ngazi (ngazi zipo kwa nje).

Steel kwenye suspended slab inatakiwa 80kg/cubic meter.
Kwenye 8 cubic meters utahitaji 640kg of steel (price index ya steel ni appr. 1000$/tonne).

Slab peke yake itakugharimu kama milioni 5 au 6.

Usisahau mabomba ya wiring.
Mkuu, Hapo kwenye "bolded words". Nimeelewa kama Floor slab yenye SQM 64 itamgharimu milioni 5-6. Nimeelewa sahihi.?
Nimefuatlia huu uzi huko nyuma kuna comments za wananzengo gharama zinatisha sana!
 
Kobello

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
7,735
2,000
Mkuu, Hapo kwenye "bolded words". Nimeelewa kama Floor slab yenye SQM 64 itamgharimu milioni 5-6. Nimeelewa sahihi.?
Nimefuatlia huu uzi huko nyuma kuna comments za wananzengo gharama zinatisha sana!
Hiyo ni gharama ya "slab" (suspended).

Gharama ya "Frame" inajumuisha

I. Excavation.

II. Zege na rebars (steel) kwa ajili ya

a. Footings.
b. Columns
c. Beams.
d. Slab (ground floor & suspended).
e. Stairs.

Roughly (except for excavation) kila step itakugharimu 4 to 6m. kwa hiyo frame pekee ya jengo la ukubwa huo roughly kwa kutumia "Thumb rule" itakugharimu 20 to 30 million Tsh.

Jamaa aliesema 325,000/- per SQM yupo sahihi.
 
Azathioprine

JF-Expert Member
Sep 16, 2013
516
500
Hiyo ni gharama ya "slab" (suspended).

Gharama ya "Frame" inajumuisha

I. Excavation.

II. Zege na rebars (steel) kwa ajili ya

a. Footings.
b. Columns
c. Beams.
d. Slab (ground floor).
e. Stairs.

Roughly (except for excavation) kila step itakugharimu 4 to 6m. kwa hiyo frame pekee ya jengo la ukubwa huo roughly kwa kutumia "Thumb rule" itakugharimu 20 to 30 million Tsh.

Jamaa aliesema 325,000/- per SQM yupo sahihi.
Umeifanunua vizuri sana. Ninakushukuru ndg yangu!.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom