Naomba kufahamishwa admission points za kujiunga na Degree ya Pili (masters)

Guy Isaac

Senior Member
Aug 10, 2019
126
60
Wapendwa katika bwana, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nasoma Degree ya Business Administration nina mpango wa kusoma mpaka ngazi ya Masters nikihitimu Degree yangu ya kwanza hivyo naomba msaada wenu juu ya qualification zipi zitakazonifnya nijoin na masters hasa Masters in B'ness Administration (MBA).

Lakini pia ningependa kufahamu kama kuna possibility ya kupata scholarship na ni nchi gani ambayo ina opportunity nyingi na inayotoa full scholarship.

NOTE: Naheshimu mawazo ya kila mtu hivyo naomba msaada wako kaka na dada zangu.
 
Mkuu katafute hela achana na hayo makaratasi
Hujasikia wanasema hela makaratasi lakini makaratasi yako hayo hayaitwi hela
Tafuta hela
 
Wapendwa katika bwana, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nasoma Degree ya Business Administration nina mpango wa kusoma mpaka ngazi ya Masters nikihitimu Degree yangu ya kwanza hivyo naomba msaada wenu juu ya qualification zipi zitakazonifnya nijoin na masters hasa Masters in B'ness Administration (MBA).

Lakini pia ningependa kufahamu kama kuna possibility ya kupata scholarship na ni nchi gani ambayo ina opportunity nyingi na inayotoa full scholarship.

NOTE: Naheshimu mawazo ya kila mtu hivyo naomba msaada wako kaka na dada zangu.
Kijana kusoma postgraduate yaani master degeer ni nzuri, ila ukiwa na hela yako binafsi na si hela ya wazazi
Tafuta shughuli yakufanya kwanza ndiyo
Utarudi shule
By the way kama upo vzr mfukoni na kichwana it's better ukaunga
 
Ningependa kuuliza ukianzia diploma ukapata gpa ya 4.5 unaweza kwenda kusoma degree na kama unaweza unapata mkopo
 
Wapendwa katika bwana, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nasoma Degree ya Business Administration nina mpango wa kusoma mpaka ngazi ya Masters nikihitimu Degree yangu ya kwanza hivyo naomba msaada wenu juu ya qualification zipi zitakazonifnya nijoin na masters hasa Masters in B'ness Administration (MBA).

Lakini pia ningependa kufahamu kama kuna possibility ya kupata scholarship na ni nchi gani ambayo ina opportunity nyingi na inayotoa full scholarship.

NOTE: Naheshimu mawazo ya kila mtu hivyo naomba msaada wako kaka na dada zangu.
Pakua postgraduate admission guide ya tcu ya mwaka huu kwenye website yao. Sio kila course ni 2.7
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom