ushalikoroga nn kijukuu ndo kwanza miwili umeanza kutoka machoziNaomba kufaham madhara ya kufeli somo la GS na BAM, kwa mtu kama wa HGE na CBG
kwan matokeo YametokaSs mtu kama huyo tunampeleka coz gan?
kusoma degree inaweza kuwa utata,labda aende diplomaSs mtu kama huyo tunampeleka coz gan?
kwani umeskia ualimu ndo unataka watu waliofeli, hapo stashahada inamuhusuIla ualim anaweza kwenda degree co?
Kijukuu mbona unamwangia nduguyo?Dah, atatupa kaz sana huyu
Kwa sasa hakuna penati ya GS hivyo F haina athari yoyoteUkifeli BASIC APPLIED MATHEMATICS (BAM) na GENERAL STUDY (GS) kuna faculity ukifika chuo huwezi soma, kwa BAM kusoma course za biashara itakuwa ngumu na gs vilevile social science inakukataa........