Naomba kufaham kuhusu qr code

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,072
1,697
Habarini za asubuhi wanajamvi,

kama chichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza....mara kwa mara nimekuwa nikiingia baadhi ya app kwenye sim huwa nakutana na neno scan QR CODE mfano kwenye app ya mpesa, kwenye profile picha ya contact nk.

Sasa neno hili limekuwa gumu kidogo kwangu kulielewa ...kwaiyo kwa faida na ya wadau wengine ambao hawana ufaham kama mimi mwenye uelewa nalo tunaomba atufahamishe nn maana ya QR CODE na pia nini matumizi ya hili neno na wanaposema scan tunawezaje ku scan kwa mfano simu haina app ya ku scan?

Asanten sana wadau naomba kuwasilisha....! Chief mkwawa kama upo jukwaan tupe msaada kaka
 
Ok! Sante mkuu....samahan kwa swali jingine tena... napataje iyo qr code sababu unakuta app inadai uingize qr code wakati huo huo unakuta haujatumiwa izo qr code zenyewe....na jeh! Uta scan vip endapo utakuwa nazo? Au mpaka uwe na app ya ku scan kwenye simu?
 
Habarini za asubuhi wanajamvi,

kama chichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza....mara kwa mara nimekuwa nikiingia baadhi ya app kwenye sim huwa nakutana na neno scan QR CODE mfano kwenye app ya mpesa, kwenye profile picha ya contact nk.

Sasa neno hili limekuwa gumu kidogo kwangu kulielewa ...kwaiyo kwa faida na ya wadau wengine ambao hawana ufaham kama mimi mwenye uelewa nalo tunaomba atufahamishe nn maana ya QR CODE na pia nini matumizi ya hili neno na wanaposema scan tunawezaje ku scan kwa mfano simu haina app ya ku scan?

Asanten sana wadau naomba kuwasilisha....! Chief mkwawa kama upo jukwaan tupe msaada kaka
Mkuu hapa umeandika kwa maandishi mimi nimekuelewa, zipo lugha ambazo machine kama simu ama computer inaelewa.

Qr code zenyewe ni code ambazo zinajumuisha vibox vyeusi na vyeupe ambavyo machine inaelewa. Inaweza kuwa maandishi, jina website na mambo mengi tu.

Tuchukulie mfano hio mpesa, shirika la serikali linaweza tengeneza qr code yake, wakati wa kulipia baada ya kuhangaika kubonyeza bonyeza na kuweka controll no ukascan tu qr kodi yao na kulipa.

Mfano hii qr code unaweza kuscan na kuniambia kuna nini ndani
20210926133900.png

Kuscan nenda playstore search qr code reader download app yake kisha fungua hio picha na simu ama kifaa chengine kisha scan.
 
View attachment 1953641

Kuscan nenda playstore search qr code reader download app yake kisha fungua hio picha na simu ama kifaa chengine kisha scan.
Hivi haiwezekani hiyo picha nikaiscan Kwa simu yangu mwenyewe bila kutegemea simu nyingine ije kusacan?

Mfano sina simu ya ziada zaidi ya hii nayotumia,na nataka kujua hiyo QR code inahusu nini
 
Habarini za asubuhi wanajamvi,

kama chichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza....mara kwa mara nimekuwa nikiingia baadhi ya app kwenye sim huwa nakutana na neno scan QR CODE mfano kwenye app ya mpesa, kwenye profile picha ya contact nk.

Sasa neno hili limekuwa gumu kidogo kwangu kulielewa ...kwaiyo kwa faida na ya wadau wengine ambao hawana ufaham kama mimi mwenye uelewa nalo tunaomba atufahamishe nn maana ya QR CODE na pia nini matumizi ya hili neno na wanaposema scan tunawezaje ku scan kwa mfano simu haina app ya ku scan?

Asanten sana wadau naomba kuwasilisha....! Chief mkwawa kama upo jukwaan tupe msaada kaka
QR CODE NI NINI?
Ukinunua jarida, kitabu au kitu chochote ukakuta alama hii basi ujue umekutana na QR code (ambacho ni kifupi cha Quick Response Code)
Ili uweze kusoma taarifa zilizofichwa ndani ya QR code unatakiwa udownload app inayoitwa QR code reader kwenye simu yako kisha utatumia camera ya simu yako kusoma QR code
Taarifa zinazoweza kubebwa na QR code ni pamoja na anwani, jina la mtu, tovuti etc
QR code nyingine ukiimulika tu moja kwa moja inaiamrisha simu yako ifungue website Fulani
kama simu yako umedownload QR reader unauwezo wa kuchukua taarifa kwa kumulika simu yako kwenye alama hiyo uionapo kwenye bango au tangazo barabarani ndani ya sekunde kadhaa simu yako inapata taarifa za contact au website uliyokusudiwa uijue
 
Hivi haiwezekani hiyo picha nikaiscan Kwa simu yangu mwenyewe bila kutegemea simu nyingine ije kusacan?

Mfano sina simu ya ziada zaidi ya hii nayotumia,na nataka kujua hiyo QR code inahusu nini
Unaweza karibia app zote za kuscan zina uwezo wa kuchagua image

Sema itabidi uidownload kwanza
 
Kuna simu kadhaa zinakuja na QR au barcode code scanner kwenye App ya camera by Default.

Kabla huja Download angalia kwenye option za camera App ya simu yako kama inayo QR au barcode scanner.

Angalia mfano hapa, hii imekuja nayo.

Screenshot_20210926-182034~2.png

Screenshot_20210926-182046~2.png

Screenshot_20210926-182119~2.png
 
Back
Top Bottom