Naomba kuelimishwa vitu gani vinamfanya mtu kuwa Celebrity? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kuelimishwa vitu gani vinamfanya mtu kuwa Celebrity?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by WABUSH, Oct 14, 2010.

 1. WABUSH

  WABUSH JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Great thinkers get me clear on this
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Vaa cheni kubwa ya silver shingoni,ma pete makubwa mkononi,hereni masikioni.vaa jinsi kata **** ya kupauka na raba. Tshirt ya kubana.CLUB MAARUFU NA UZINDUZI WA ALBUM USIKOSE
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Vaa cheni kubwa ya silver shingoni,ma pete makubwa mkononi,hereni masikioni.vaa jinsi kata **** ya kupauka na raba. Tshirt ya kubana.CLUB MAARUFU NA UZINDUZI WA ALBUM USIKOSE kuhudhuria
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  pesa is one of the things
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  publicity, i mean kuwa popular in whatever the case be it positive or negative.
   
 6. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  tembea uchi posta mpya!
   
 7. K

  KABAZI JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2010
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama ni demu gawa kama pipi!!
   
 8. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Kwa wanawake ukiolewa na mzungu ni moja ya sifa muhimu.kwa wanaume sifa ni nyingi sana nyingine nzuri na nyingine mbaya naogopa kuzitaja naweza kula ban ya nguvu lakini najua umeshaelewa.
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  kuwa playboy
  kuwa mamahur...
  jifanye unaish ki brokyln kumbe we tandale product....
  nyodo +dharau hommies wote wa zaman unawapotezea wasje wakakushusha hadhii.
  kujichubua kdg hasa kwa mwanaume , mwanamke ni kawaida
  unashnda masak unalala segerea
  kusuka nywele(kwa mwanaume)
  ONGEA NONSESE sjawai kuta macelbrty wakiongea sense zaid ya mafagio+kujikweza(ni wachache sana wanaobakia kuwa wao)
  dah nilimit na msanii mmoja iv ambaye nilisoma nae vosa kipnd iyo wakawa wamekuja mabibo hstl kuekt basi nkamshobokea eehhhhh stv jaman mambo ?ahhh akanipandsha akanishusha as if kaona ghost dahh nkajiona nyaa cz he was 2low wakat ametoka kashozi uko na kuish tandika devis kona pale na lafudhi yake ya kihaya ..mmoja wa marafiki zangu ndo alikuwa amemleta shule pale bas ikabd nae awe mshkaji tu ..stor ,kusoma..mmh alivyojifanya haniju skuzile afta kuwa staa bas ahh namwona MSHAMBAAAAAAAAAAAA na ivi kajichubua skuiz ahh ndo kabisa!
  thou nampa hngera kwa kaz nzuri anayoifanya bt namwona mshambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
   
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Chukua kadi ya CCM,gombea ubunge,kisha jiunge na mafisadi.
   
Loading...