Naomba kuelimishwa kuhusu Uhamisho wa kubadilishana vituo

mkumbwa junior

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
345
500
Naomba anayefahamu taratibu za uhamisho wa kubadilishana kituo anisaidie katika hili, Je! mwalimu unapokuwa na Tsd no. na cheq no. zinatosha kwa ajili ya uhamisho au ni lazima tena uwe na barua ya uthibitisho pamoja na kuwa umekaa katika wilaya hiyo kwa kipindi cha miaka fulanii ?

Anayefahamu anisaidie ili niweZe kubaini vitu vya kuwa navyo ili nifanikishe uhamisho huo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom