Raum consumption yake iko vip mkuuasante.......ila nilivoona cc 1490,nikajua fuel consumption ni level za RAUM....
Pitia link ifuatayo upate maelezo ya kutosha kuhusu Raum.Raum consumption yake iko vip mkuu
Asante mkuuPitia link ifuatayo upate maelezo ya kutosha kuhusu Raum.
TOYOTA RAUM: Which Version Do You Like for Used Car?
Kwa ufupi fuel consumption kwa Raum second generation (2003-2011) ni 16.2 km/L for FF na 15km/L for 4WD itategemea barabara na hali ya gari pia. First generation (1997-2003) ni 13.8 - 12.2 km/L.
KaribuAsante mkuu
naomba kuelimishwa kuhusu ukubwa wa engine na utumiaji wa mafuta,....maana nilivoona subaru ina cc 1490 na Raum ina cc1490 nikajua FUEL consumption ni sawa .Pitia link ifuatayo upate maelezo ya kutosha kuhusu Raum.
TOYOTA RAUM: Which Version Do You Like for Used Car?
Kwa ufupi fuel consumption kwa Raum second generation (2003-2011) ni 16.2 km/L for FF na 15km/L for 4WD itategemea barabara na hali ya gari pia. First generation (1997-2003) ni 13.8 - 12.2 km/L.
Unaulizia Raum? Kama Raum pitia link niliyoiweka, yajitosheleza.naomba kuelimishwa kuhusu ukubwa wa engine na utumiaji wa mafuta,....maana nilivoona subaru ina cc 1490 na Raum ina cc1490 nikajua FUEL consumption ni sawa .
All-wheel DriveSubaru ya cc1500 inakula mafuta kuliko toyota nyingi za cc1500,angalia kipato kwa umakini mkuu,nadhani sababu ni AWD i.e all weather drive,ni mfumo wa kusukuma tairi zote nne muda wote,huu mfumo nahisi ndio chanzo cha ulaji wa mafuta,otherwise ni gari nzuri
Highway 12-3km kwa lita mjin 9km/lMafuta 1lt ni km ngapi!?
Jiandae kwa kuunguza head Gasket pia.Ina tatizo hilo pia
Labda iwe inaendeshwa na mtu mzimaHii sio kweli.. kuna mtu namfahamu analo for more than 4 years, no mechanical problems
inaunguza head gasketi if utaitumia kwenye racing...Labda iwe inaendeshwa na mtu mzima
Kwani mtu unanunua Subaru ili uwe unaifanyia nini?inaunguza head gasketi if utaitumia kwenye racing...