Naomba kuelimishwa kuhusu Money Maker pump

Kitabu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
302
26
Wadau naomba kuelimishwa kuhusu moneymaker Pump. Je, ina uwezo wa kusukuma maji umbali gani? Ubora wake ukilinganisha na hizi pump za laki tatu za Kariakoo?

Naomba kujua na bei zake na wapi nitaipata kiurahisi kama nikiridhika kuwa ni bora zaidi.
 
Kwema mkuu, nazo zipo hapo hapo kariakoo pale kwenye mwavuli panda juu kigorofani ulizia pale kwenye duka la pembejeo atakuelekeza utaweza kuziona na kuuliza maswali yote na hata kuitest kabisa.
 
Money maker pump ,hutumika kusukuma maji kutoka point A}kwenda Point B ,mfano waweza kuwa na shamba ambapo pembezoni kuna mto wenye maji umekatisha hapa ndo unaweza kutumia moner maker kusukuma maji kutoka mtoni Hadi shambani, na hii hutegeme umbali kutoka mtoni na lilipo shamba, Na kama pump itakwenda umbali mrefu kutoka yalipo maji, pump haitaweza kusukuma.

Kumbuka kuwa Money maker haitumiki katika visima vya kuchimba au kama hizo pump unazosema za laki tatu . Money maker ni kwa shughuli umwagiliaji tu.
 
Back
Top Bottom