Naomba kuelimishwa kuhusu Idara zinazojitegemea za serikali...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kuelimishwa kuhusu Idara zinazojitegemea za serikali...!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Papa Mopao, Aug 30, 2012.

 1. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Hizi idara sifa zake ni zipi? Naomba na mifano ya idara zinazojitegemea za serikali.

  Nitashukuru sana kuelimishwa.
   
 2. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Govt Agency zote, including executive Agency eg, TRA, BoT, Summatra, Ewura etc!
   
 3. cabhatica

  cabhatica JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 1,074
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ni Idara ambazo haziwajibiki moja kwa moja kwenye wizara. Mfano: Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), Tume ya taifa ya Uchaguzi (NEC), Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa, Takukuru, Ofisi ya Ukaguzi (NAO), Mahakama, Tume ya utumishi wa umma, Ofisi ya mwanasheria Mkuu wa serikali n.k
   
Loading...