Naomba kuelimishwa kuhusu Google Adsense

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
475
101
Habari wakuu, Ningependa kufahamu kwa wenye experience na hii kitu sio tu kuisoma bali kufanyia kazi. Ni kiasi gani(range) ya pesa au malipo unaweza ukapata kupitia Google adsense, na malipo yake yanakuwaje. Nakaribisha maoni yenu. Asante.
 
mi sijawah kuwa na adsense ila ni mtumiaji wa admob zaidi ya nusu muongo sasa. admob ilinunuliwa na google ikawa part ya matangazo yao.

inategemea na visitors wako wanatoka wapi ila kwa hapa tanzania matangazo ya text ilikuwa ni 0.01usd mtu akiclick na 0.001 kwa impression. pia kwa yale ya banner (picha) ilikua ni 0.04 usd.

pia kunakuwa na campaign zinakuwa zinalipa zaidi ili kuvutia advertiser, mfano samsung anaweza kueka matangazo yake wawe webmaster wanalipwa 0.05usd ili kila mtu aweke matangazo yake.

hayo ndio matangazo common niliyoyaona ila kunakuwa na matangazo rare kama yale ya kudownload ambayo yanalipa 0.5usd hadi 2usd.

malipo unaruhusiwa kutoa hela zako zikifika dola 50 na unaweza tumiwa kwa wire transfer, paypal au cheque

site niliyoeka ilikuwa na visitors 3 digit yaani wanarange 100-999 kwa siku na sijawah kupata zaidi ya dola 9 kwa siku unaweza pata dola 2 au 3 tu.

ila kama unakuwa na visitors wengi inalipa.

kuna member alikua anaclaim ye anapata 30,000 usd kwa blogspot kwa mwezi ngoja aje aje atupe screenshot atupe na siri ya mafanikio.

kuongezea zaidi site yangu ilikuwa ya simu.
 
Back
Top Bottom