Naomba kuelimishwa kuhusu Deep State

Hili ni kundi la watu lisilo Rasmi lenye kuweza kubadili mwelekeo wa serikali kwa ushawishi wao wa uonekanao na usionekana. Wanaweza kuwa ktk raia wa kawaida, jeshini, Usalama, Polisi, wanaharakati, wafanyabiashara, wazee, ndugu zake au rafiki zake Rais nk. Hawa hawana njia Rasmi ya kufanya kazi Wala bajeti. Wakati mwingine ni hatari hata kwa serikali inategemea nyakti na mwelekeo.
 
Freed Freed asante kwa mwangaza kidogo ulionipa, ila bado nina maswali, hili kundi hili lisilo rasmi je halina kiongozi/ uongozi wake?
Kwa kawaida Mkurugenzi Mkuu wa usalama wa taifa huripoti kwa Rais, je huyu mkurugenzi Mkuu anaweza asijue mipango na mikakati ya Deep State ambayo labda iko kinyume na taasisi ya urais ili kutoa taarifa kwa rais? Au mkurugenzi huyu pia huripoti kisiri kisiri kwenye Deep State pasipo rais kujua?
 
Back
Top Bottom