Naomba kuelimishwa juu ya portable wi-fi router

MeNaco.com

Member
Sep 1, 2011
94
4
Nimeona kuna watu wengi wanajadili sana kwenye comment za thread mbalimbali kuwa kutumia WIFI ROUTER inasaidia kupunguza gharama za bundle.

1.naomba kufahamu juu ya hichi kitu .

2. kinapatikana kwa gharama kiasi gani

3. Je kinafunction kwenye 2g au la?

4. kuna malipo ya kila mwezi au la?

5. kama malipo yapo unalipia wapi?

Samahani sana kwa usumbufu wana JF, ila mwenye ufahamu na anijuze juu ya hili
 
Katika JF hii kuna kitu kama hicho kimejadiliwa?

Router ni kifaa ambacho unaweza kuwekea internet source kikasambaza kwa watu au vifaa zaidi ya kimoja

Mfano Vodacom wanayo router yao unaweka Line ya simu e.g Vodacom unaunga kifurushi kisha unasambaza kwa WiFi kwenda devices nyingine e.g Simu yako na PC yako,simu ya wife wako na pc yake

Hivo hii kifaa lazima ukilipie e.g Vodacom wanauza hizo router 125,000/=

Unaweka bundle la Vodacom afu ndo unavisambazia vifaa unavyotaka

Hivo malipo yapo na unalipa kwa mitandao ya simu walokuuzia hiyo router na inafanya eneo lolote hata lenye 2G network

Mifano ya router hii hapa moja unachomeka modem nyingine line ya simu

large_42154_1381221393.jpg

Three-Value-MiFi.png
 
Haipunguzi gharama yoyote, bundle ni ile ile. Kama una smartphone yenye feature ya HotSpot ni exactly the same thing.
 
Katika JF hii kuna kitu kama hicho kimejadiliwa?

Router ni kifaa ambacho unaweza kuwekea internet source kikasambaza kwa watu au vifaa zaidi ya kimoja

Mfano Vodacom wanayo router yao unaweka Line ya simu e.g Vodacom unaunga kifurushi kisha unasambaza kwa WiFi kwenda devices nyingine e.g Simu yako na PC yako,simu ya wife wako na pc yake

Hivo hii kifaa lazima ukilipie e.g Vodacom wanauza hizo router 125,000/=

Unaweka bundle la Vodacom afu ndo unavisambazia vifaa unavyotaka

Hivo malipo yapo na unalipa kwa mitandao ya simu walokuuzia hiyo router na inafanya eneo lolote hata lenye 2G network

Mifano ya router hii hapa moja unachomeka modem nyingine line ya simu

large_42154_1381221393.jpg

Three-Value-MiFi.png

vip speed ya internet kwenye 2g haitakuwa low? au inaendana tu ya simu ya kawaida
 
vip speed ya internet kwenye 2g haitakuwa low? au inaendana tu ya simu ya kawaida

upo mkoa na wilaya gani huko ambako hamna hata 3G roaming ya Vodacom?

Internet ya 2G hata uwe wapi by nature iko slow hivo usitegemee miracle

nakushauri fata ujanja wa kuset WCDMA only/UMTS Only/3G only ili uweze kuona hata kama utapata walau Bar hata 1 ya mtandao ulo karibu na kijiji chako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom