mtaratibuuuuuu
Member
- Aug 17, 2009
- 60
- 4
Kuna baadhi ya wanaume wanasema kuna wanawake wakuoa,huwa wanamaanisha nini?je wengine huwa wakufanya nini?
Wapo wa kuoa na wasio wa kuoa. Utaoaje mwanamke malaya, mlevi, mtusi, mwenye kiburi, hasira, asiyependa maendeleo, mchafu. Msengenyaji na mambo kama hayo. Hiz ni sababu tosha za kutokuolewa.
wanawake wa kitusi wakoje?mbona kuna jamaa namjua kaoa mtusi yaan ni mzuri sna na wanaishi maisha safi tu na sasa hivi wana hela sana but walianza wakiwa hawana kitu kabsa,nafikiri cha msingi hapa ni tabia ya mtu na siyo kabila lake.Wapo wa kuoa na wasio wa kuoa. Utaoaje mwanamke malaya, mlevi, mtusi, mwenye kiburi, hasira, asiyependa maendeleo, mchafu. Msengenyaji na mambo kama hayo. Hiz ni sababu tosha za kutokuolewa.
wengi hawafai kuwa wake kwa sababu hawana vigezo vya kuwa wake......
unaja wanawake ni kama wachezaji mpira...wapo wengi lakini na wachache wanawweza kuwa labelled as champions!!! champions ndio hao ambao tunasema wakuoa.