Naomba kuelimishwa juu ya hili

Aug 17, 2009
60
4
Kuna baadhi ya wanaume wanasema kuna wanawake wakuoa,huwa wanamaanisha nini?je wengine huwa wakufanya nini?
 
Wapo wa kuoa na wasio wa kuoa. Utaoaje mwanamke malaya, mlevi, mtusi, mwenye kiburi, hasira, asiyependa maendeleo, mchafu. Msengenyaji na mambo kama hayo. Hiz ni sababu tosha za kutokuolewa.
 
kuna masuala au vigezo kwa kila muoaji anapenda avione kwa mke au mme .. vipo ambavyo vya kawaida na vingine kwa mhusika mwenyewe
 
Wapo wa kuoa na wasio wa kuoa. Utaoaje mwanamke malaya, mlevi, mtusi, mwenye kiburi, hasira, asiyependa maendeleo, mchafu. Msengenyaji na mambo kama hayo. Hiz ni sababu tosha za kutokuolewa.

Hapo umenena mkuu na ndio maana wanawake wengi wa aina hiyo hawaolewi na kama wakiolewa huishia kuachwa.
 
Wapo wa kuoa na wasio wa kuoa. Utaoaje mwanamke malaya, mlevi, mtusi, mwenye kiburi, hasira, asiyependa maendeleo, mchafu. Msengenyaji na mambo kama hayo. Hiz ni sababu tosha za kutokuolewa.
wanawake wa kitusi wakoje?mbona kuna jamaa namjua kaoa mtusi yaan ni mzuri sna na wanaishi maisha safi tu na sasa hivi wana hela sana but walianza wakiwa hawana kitu kabsa,nafikiri cha msingi hapa ni tabia ya mtu na siyo kabila lake.
 
wengi hawafai kuwa wake kwa sababu hawana vigezo vya kuwa wake......
unaja wanawake ni kama wachezaji mpira...wapo wengi lakini na wachache wanawweza kuwa labelled as champions!!! champions ndio hao ambao tunasema wakuoa.
 
mtu kamtokea msichana siku hiyohiyo anamaliza mchezo, automatically atakuwa anasema huyu si wa kuoa just wa kuburudika.Mdada siku umefulia hataki muonane, kila wakati anataka muende sehemu za starehe tu, hapo utakuta unajisemea kuwa huyu sio mwanamke wa kuoa. na mambo mengine kama hayo.
 
kuna wanawake wanaume huwatafuta just for fasion,wakutoka naye kwaajili ya starehe na kuonekana kwa marafiki au wengine kwa kutimiza tamaazao tu basi.
Wanawake wakujipamba,
wanawake waenda disko
,wavaa vimini
,wenye maumbo ya umisi
,wenye madaha na
wenyesifa ya kupenda ufahari na
kazi laini laini hupendwa kwa tamaa na fasion lakini sio kwa maisha ya ndani kama mama.
SIRI YA MWANAUME ANAYEKUPENDA NA MWENYE LENGO LA KUKUOA UTAONA ANAANZA KUKUBADILI NAKUKUZUIA BAADHI YA VITABIA UVIACHA KWANI ANAJUA WEWE SIO WAKUPITA LAKINI KAMA UNAONA ANAKUPA UHURU WAKUFANYA LOLOTE BASI UJUE HUYO ANAJUA WEWE NI MPITAJI HANA HAJA NA TABIA ZAKO
 
wengi hawafai kuwa wake kwa sababu hawana vigezo vya kuwa wake......
unaja wanawake ni kama wachezaji mpira...wapo wengi lakini na wachache wanawweza kuwa labelled as champions!!! champions ndio hao ambao tunasema wakuoa.

kinamama embu jitokezeni mje ku smash hii mitazamo dume jamani!
 
Ni kama unaweza kusema karanga za kuchoma (na chumvi kidogo) au karanga mbishi zilizo kaushwa tu. Zilizo chomwa na kachumvi ni tamu sana na zinachanganya mahali ya bia. ila huwezi zitumia kwa kupanda. na zile mbichi ingawa sio tamu sana zina faa kwa kupanda.
Mwanamke mzuri ni yule unaweza kufanya investment in the long term na yule hafai kuoa ni yule mnaweza kustarehe kidogo ila kwa long term hafai.
 
Back
Top Bottom