Naomba kuelimishwa jinsi ya kuifanya simu kuwa na uwezo wa 4g

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,552
44,711
Kama kuna uwezekano ni hatua zip kufuata ili uwe na uwezo wa kutumia 4G simu ambayo inasoma 3g. Particularly kwenye device yangu ambayo ni TECNO 8H Chief-Mkwawa
 
Simu yako kwa specs zake imepewa uwezo wa 2G&3G imekuwa designed hvyo only otherwise unaweza kuienjoy 4g if and only if ukiwa connected wirelessly yenye 4th generation (4g)
Nawasilisha
 
Nunua tu simu nyingne yenye uwezo wa 4G, pia kwa hapa Tz ni lazma uwe na simcard yenye uwezo wa 4G, na vile vile eneo ulilopo liwe linakamata 4G network
 
Back
Top Bottom